Diamond na kundi lake wakifanya kweli jukwaani. |
Diamond na kundi lake wakifanya kweli jukwaani. |
Diamond na kundi lake wakifanya kweli, uwanjani mbele ya mashabiki waliofika kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma. |
Diamond na kundi lake wakifanya kweli jijini Dodoma. |
Diamond na kundi lake wakipanda jukwaani kumpa mkono Dr. Jakaya Kikwete. |
Joti....weweeee.....akiwapa mashabiki mambo yake...mchekeshaji wa Orijino Komedi!!! |
Mpoki a.k.a TAJIRI LA KIHAYA...akisikilizwa na Masanja Mkandamizaji wote ni wachekeshaji wa Orijino Komedi!! |
Huyu ni Masanja Mkandamizaji,mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi |
Wewe unacheka....!!!wao wanasalimiana na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete. |
No comments:
Post a Comment