Dr. Jakaya Kikwete ampa Tuzo ya Hesima Mama Maria Nyerere - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 9 July 2012

Dr. Jakaya Kikwete ampa Tuzo ya Hesima Mama Maria Nyerere

Rais Jakaya Kikwete Amkabidhi Mama Maria Nyerere Tuzo ya Juu ya Heshima ya Taifa la Burundi Aliyotunukiwa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Burundi.

Chukua mama Tuzo ..bado tunakusheshimu sana mama yetu wa Taifa...!
Piga picha nanii..?nataka nimpe mama yetu hii Tuzo ya Heshima..Mama Maria Nyerere
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mama Maria Nyerere Tuzo ya Juu ya Heshima ya Taifa la Burundi aliyotunukiwa Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere wakati wa maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Burundi yaliyofanyika mjini Bujumbura wiki iliyopita.Mwalimu Nyerere alitunukiwa tuzo hiyo kwa mchango wake wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Burundi ambapo alikuwa mshauri wa karibu wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa nchi hiyo Prince Louis Rwagasore. Rais Kikwete alimkabidhi Mama Maria tuzo hiyo leo asubuhi ikulu jijini Dar es Salaam.
Picha Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment