DKT. GHARIB BILAL AFUNGUA KONGAMANAO LA KWANZA KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI KWA NCHI ZA AFRIKA, JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Jul 2012

DKT. GHARIB BILAL AFUNGUA KONGAMANAO LA KWANZA KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI KWA NCHI ZA AFRIKA, JIJINI ARUSHA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza Julai 26, 2012 jijini Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa ‘International Diabetes Federation’, Jean-Claude Mbanya,  baada ya kumaliza  hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza  Julai 26, 2012 jijini Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya watoto wanaishi na ugonjwa wa Kisukari kutoka Mataifa mbalimbali ya Afrika, wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza Julai 26, 2012 jijini Arusha. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa ‘International Diabetes Federation’, Jean-Claude Mbanya,  baada ya kufungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika,jijini Arusha.
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na watoto waishio na ugonjwa wa kisukari, baada ya kufungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza  Julai 26, 2012 jijini Arusha. 
  Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamanao hilo. 
Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad