Waziri Mkuu Mizengo Pinda Amtembelea Waziri Asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 8 May 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Amtembelea Waziri Asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya



 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali May 7, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali. Katikati ni Mke wa Waziri huyo, Mama Lucy Mwandosya.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Waziri  asie na Wizara Maalum Profesa Mark Mwandosya wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kunduchi jijini Dar es salaam  kumjulia hali. 
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment