| Hii ni hali halisi ya makabila ya kanda ya kaskazini ,hasa wameru na wachagga waishivyo na vitu wanavyovitumia. |
| Haya pia ni makabila maarufu ya kanda ya kaskazini,hasa Wamaasai na Waarusha waliopo kwenye mkoa wa Arusha |
| Hawa ni wanyama ambao wanapatikana katika mkoa huu wa Arusha katika mbuga zake zote. |
| Hii ni nyumba ya kuhifadhia mazao mbalimbali kwa maendeleo na maisha ya baadae,ni muhimu kufanya haya na kuyaheshimu haya. |
No comments:
Post a Comment