BETRICE MUHONE NDANI YA UZINDUZI WA KANDA YA COLLINS PETER WA ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 28 May 2012

BETRICE MUHONE NDANI YA UZINDUZI WA KANDA YA COLLINS PETER WA ARUSHA

Huyu ndo Collins Peter Mwanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini Arusha,anaetarajia kuzindua  albam yake ya pili ya nyimbo za injili  tarehe 3/6/2012 katika viwanja vya kanisa la Calvary Assemblies of God -Sombetini Arusha, uzinduzi huo atakuwepo Askofu mkuu wa makanisa ya Calvary Bishop Dustan Haule Maboya,pia watakuwepo waimbaji kama Betrice Muhone ,Streams of Life, Holy Trinity na Praise Team,kiingilio ni mchango wako tu ili kufanikisha video ya albam hiyo.unakaribishwa sana na Mungu Akubariki

Hii ndo cover yenyewe ya Albam ya Collins Peter, Unakarishwa sana bila kukosa,kiingilio ni mchango wako tu ili kufanikisha video ya albam hiyo.
for more call: +255 715 643 633

No comments:

Post a Comment