WARSHA YA MAZINGIRA JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 20 April 2012

WARSHA YA MAZINGIRA JIJINI ARUSHA

Bw. Erasto Mosha, mkufunzi kutoka VETA Moshi akitoa mada kuhusu teknolojia mbadala ya viyoyozi na majokovu na umuhimu wake katika warsha ya mafundi mchundo, iliyofanyika mjini Arusha.
Washiriki wa warsha ya mafunzo ya mafundi mchundo kuhusu teknolojia mbadala ya majokofu na viyoyozi,wakisikiliza mada inayohusu umuhimu wa teknolojia hiyo mbadala.

No comments:

Post a Comment