MKUTANO WA MFUKO WA BIMA YA AFYA YA TAIFA NA WADAU WAKE WAFANYIKA JIJINI MWANZA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Mar 2012

MKUTANO WA MFUKO WA BIMA YA AFYA YA TAIFA NA WADAU WAKE WAFANYIKA JIJINI MWANZA



 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa NHIF kwanza kutoka kushoto Eugen Mikongoti akiwa katika mkutano wa wadau wa Mfuko huo na wadau wake,  uliofanyika mkoani Mwanza hivi karibuni na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mfuko huo.
Mwanachama wa NHIF akitoa ushuhuda kwa wadau wa Mfuko huo namna Mfuko ulivyomsaidia kwa matibabu ya wategemezi wake.
Mkurugenzi wa Uendeshaji akiwa na Mkurugenzi wa Takwimu na Utafiti, Michael Mhando wakiwajibika kabla ya kuanza mkutano.


Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Ntunkamazina akisisitiza jambo kwa wadau wa Mfuko huo
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Mbigiro akifungua mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
Mjumbe wa Bodi ya NHIF, akijibu maswali ya wadau.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad