Mwamvita Makamba, Mange Kimambi na Wadau Wa U- Turn Blog Wamwaga Misaada Yenye Thamani Ya Shilingi Millioni 10 Kwa Watoto Yatima Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Feb 2012

Mwamvita Makamba, Mange Kimambi na Wadau Wa U- Turn Blog Wamwaga Misaada Yenye Thamani Ya Shilingi Millioni 10 Kwa Watoto Yatima Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi. Mkurugenzi wa U-turn blog Mange Kimambi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali katika kituo cha kulea watoto yatima cha Kurasini  jijini Dar es Salaam,Msaada huo wenye thamani ya Shilingi Milioni 10 ulitolewa kwa  pamoja na wasomaji wakuu wa Blog hiyo.
Mkurugenzi. Mkurugenzi wa U-turn blog Mange akimlisha keki mmoja ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Taifa cha Kurasini wakati wa hafla iliyoandaliwa na Blogs ya U-turn kwa kushirikiana na wasomaji wake wakuu, waliotoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula na ngua vyenye thamani ya shilingi milioni 10.
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwa amebeba mmoja wa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto yatima cha Kurasini jijini Dar es Salaam.Wakati wa blog ya U-turn kwa kushirikiana na wasomaji wake wakuu walipokwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vyakula na nguo vyenye jumla ya shilingi Milioni 10.
Mkurugenzi wa U-turn blog Mange Kimambi na Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wakifurahia pamoja na watoto yatima  walipofika katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu cha Kurasini jijini Dar es Salaam,msaada wa vyakula na vitu mbalimbali uliokuwa na thamani ya shilingi Milioni 10 ulitolewa na U-turn blog kwa ushirikiano wapamoja na wasomaji wakuu wa Blog hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa   Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya binadamu (NIMR) DK. Mwele Malecela akiongea na watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Taifa cha Kurasini wakati wa hafla iliyoandaliwa na Blogs ya U-turn kwa kushirikiana na wasomaji wake wakuu, waliotoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula na ngua vyenye thamani ya  shilingi milioni 10.
Mkurugenzi. Mkurugenzi wa U-turn blog Mange Kimambi akiongea na watoto  baada ya kukabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali katika kituo cha kulea watoto yatima cha Kurasini  jijini Dar es Salaam,Msaada huo wenye thamani ya Shilingi Milioni 10 ulitolewa kwa  pamoja na wasomaji wakuu wa Blog hiyo.
Mmoja wa wasanii wanaochipukia Dogo Aslay akiwapagawaisha watoto wa naolelewa katika kituo cha Yatima cha Kurasini cha jijini Dar es Salaam,kwa wimbo wa naenda kusema kwa mama, wakati wa hafla ya Blogs ya U-turn kwa kushirikiana na wasomaji wake wakuu walipokwenda katika kituo hicho kutoa misaada mbalimbali ikiwemo vyakula na nguo vyote vyenye thamani ya shilingi milioni 10.
Mkurugenzi Mkuu wa   Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya binadamu (NIMR) DK. Mwele Malecela akiwahudumia chakula watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Taifa cha Kurasini wakati wa hafla iliyoandaliwa na Blogs ya U-turn kwa kushirikiana na wasomaji wake wakuu, waliotoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula na ngua vyenye thamani ya  shilingi milioni 10.
Mkurugenzi. Mkurugenzi wa U-turn blog Mange Kimambi akiangalia kwa makini jinsi watoto wakikata keki muda mfupi baada ya  kukabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali katika kituo cha kulea watoto yatima cha Kurasini  jijini Dar es Salaam,Msaada huo wenye thamani ya Shilingi Milioni 10 ulitolewa kwa  pamoja na wasomaji wakuu wa Blog hiyo.
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,akipozi kwa picha na watoto hadi raha jamanii
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wakifurahia pamoja na watoto yatima  walipofika katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu cha Kurasini jijini Dar es Salaam,msaada wa vyakula na vitu mbalimbali uliokuwa na thamani ya shilingi Milioni 10 ulitolewa na U-turn blog kwa ushirikiano wapamoja na wasomaji wakuu wa Blog hiyo.
Mkurugenzi wa U-turn blog Mange Kimambi na Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wakiwa katika picha ya pamoja pamoja na watoto yatima  walipofika katika kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu cha Kurasini jijini Dar es Salaam,msaada wa vyakula na vitu mbalimbali uliokuwa na thamani ya shilingi Milioni 10 ulitolewa na U-turn blog kwa ushirikiano wapamoja na wasomaji wakuu wa Blog hiyo.
Watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Taifa cha Kurasini kilichopo jijini Dar es Salaam,wakishindana kuvuta kamba wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula na ngua vyenye jumla ya shilingi milioni 10.Vilivyotolewa na Blogs ya U-turn kwa kushirikiana na wasomaji wake wakuu...ilikuwa burudani sana
Msaada wa vyakula na vitu mbalimbali ulitolewa katika kituo cha kulea watoto yatima cha Kurasini jijini Dar es Salaam,Msaada huo wenye thamani ya Shilingi Milioni 10 ulitolewa kwa pamoja na wasomaji wakuu wa Blog ya u-turn

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad