APOSTLE DUSTAN H. MABOYA ATAYAONGOZA MAFUNDISHO YA VALENTINE DAY-SOMBETINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 13 February 2012

APOSTLE DUSTAN H. MABOYA ATAYAONGOZA MAFUNDISHO YA VALENTINE DAY-SOMBETINI ARUSHA

CALVARY ASSEMBLIES OF  GOD -JESUS POWER MIRACLE CENTRE -SOMBETINI ARUSHA INAWALETEA SEMINA KUBWA YA VALENTINE ,Itakayofanyika kuanzia Tarehe 14-19 February 2012,Saa Kumi hadi kumi na mbili na nusu jioni,Mleta semina ni ASKOFU WA MAKANISA YA CALVARY TANZANIA ,Apostle Dustan Maboya, hapo utapata UFAFANUZI WA NDANI KUHUSU UPENDO,FURAHA NA AMANI KWA WATU WOTE, WAJANE ,SINGLE PARENTS , MABINTI , VIJANA NA WANA NDOA. KARIBUNI SANA. kwa maswali piga: +255 754 483 328 

No comments:

Post a Comment