Wadau wa Vazi Taifa wakisikiliza kwa makini maelezo yanavotolewa na wakurugenzi wa Vazi hilo hapa Jiji Arusha. |
Wadau wa vazi la Taifa wakisikiliza kwa makini mchakato wa vazi la Taifa linavyoendeshwa na wakurugenzi wa Vazi hilo, hapa Jijini Arusha. |
Kushoto ni Ndugu Ndesumbuka Merinyo Mkurugenzi wa Afrika Sana na Mjumbe wa kamati ya Vazi la Taifa,katikati ni Bi. Angella Ngowi Mkurugenzi msaidizi wa utamaduni na pia ni katibu wa kamati. |
No comments:
Post a Comment