'WAZALENDO BLOG' WAJINUNULIA USAFIRI KUPUNGUZA MISHEMISHE - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


17 Aug 2011

'WAZALENDO BLOG' WAJINUNULIA USAFIRI KUPUNGUZA MISHEMISHE

Hili ndilo Gari ambalo WAZALENDO BLOG wamelinunua ili kuwasaidia kwa ku move from one place to another,so ukiwa na Tangazo lako usisite kutuita ili tu Publish kwenye blog yetu.


Huyu ndo Mkurugenzi mtendaji wa WAZALENDO BLOG......Gadiola


THAT IS THE WAY IT IS .................

SIMPLE AND EASY TO HANDLE (http://www.wazalendo25.blogspot.com/)

KAMA KAWA JOMBAAAAAAA.........

USIJENGE CHUKI NI 'MZALENDO BLOG' PEKEEEE..................

FURAHA INAPOZIDI......JAMANI UKIWA 'MZALENDO' NA MAENDELEO HAYACHELEWI.

FUNDA MOJA LA ZIADA TU............NI NOMAAAAAA............

SIO VIJANA TU WANATUMIA SIMU.....WAZALENDO NI WATU SIMPLE NA HUSIKILIZA WAKUBWA WANACHOKISEMA.

Karibu sana,toa Maoni yako,na ushauri ,pia MATANGAZO kwa Cheap Price......

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad