Dwight David Howard mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani atoa msaada wa fedha kiasi cha milioni 90 kwa shule ya Kipok - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


16 Aug 2011

Dwight David Howard mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani atoa msaada wa fedha kiasi cha milioni 90 kwa shule ya Kipok

Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akimpokea Mchezaji wa mpira wa kikapu toka nchini Marekani, ambaye pia ni mkurugenzi wa taasisi ya D12 Foundation ya nchini humo,Dwight David Howard wakati alipokuwa akiwasili jimboni humo.
Dwight Howard akiwapungia mikono wakazi wa Monduli mara baada ya nyota huyo kutembelea shule ya sekondari ya wasichana ya Kipok iliyopo wilayani Monduli juzi,na kutoa msaada wa kiasi cha milioni 90 ,kwa lengo la kusaidia ujenzi wa mabweni ya wanafunzi shuleni hapo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad