SIMBA FC NA 'WACHINJA NYAMA YA N'GOMBE FC' YA ARUSHA WAUNGANA.. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Aug 2011

SIMBA FC NA 'WACHINJA NYAMA YA N'GOMBE FC' YA ARUSHA WAUNGANA..



Hapa wakipewa maelekezo jinsi Ng'ombe hao huchinjwa




Wachezaji wa Simba wakifuatilia kwa makini jinsi Ng'ombe wanavyo chunwa.

Timu ya Simba ya jijini Dar es salaam imeahidi kuwapa ushirikiano timu ya Arusha Meat katika masuala yote ya michezo na ya ligi kwa ujumla, yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Mwenyekiti wa timu ya Arusha Meat Fc ,Aveline John Meshili aliyasema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya timu ya Simba iliyokuwa imeweka kambi yake jijini Arusha kumaliza ziara yake ya kutembelea kiwanda hicho cha nyama.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad