MATEMBEZI MAENEO YA MBALAMWEZI BEACH-DAR - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Aug 2011

MATEMBEZI MAENEO YA MBALAMWEZI BEACH-DAR



 


Mbalamwezi Beach mida ya usiku hivi..watu wanaburudika pamoja na WANA BONGO STAR SEARCH.

Sun Set...its so NICE

Mhhhhhhhhh Ninawashangaa watu wanavyo ogelea..ukizingatia mtoto wa Arusha sijawahi kuogelea hata siku moja kwasababu naogopa kuonana na SAMAKI...Bora simba ale mm si Samaki Jamani.....

Huyu nae ni wa Arusha ila amekaa sana Dar es salaam,kwa hiyo anajua kuogelea...anaitwa Eric John

Hawa ndo nilikua nawashangaa......

Bora niandike Jina Langu kuliko kuogelea...

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad