Dr. Jakaya M. Kikwete afuturu pamoja na watoto yatima ikulu jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Saturday, 6 August 2011

Dr. Jakaya M. Kikwete afuturu pamoja na watoto yatima ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimhudumia mmoja ya watoto yatima aliowaalika katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Rais Kikwete jana jioni alifuturu na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa baadhi ya watoto yatima alofuturu nao jana jioni ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimhudumia mmoja wa watoto yatima aliowaalika katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Rais Kikwete jana jioni alifuturu na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment