![]() |
| Picha ya Adam Philip Kuambiana |
![]() |
| Mwili wa Adam P. Kuambiana ukiwa umewekwa kwenye Jeneza Tayari kwa kuagwa, katia viwanja vya Leaders Club mchana wa leo. |
![]() |
| Waombolezaji waliofika katika viwanja vya Leaders Club |
![]() |
| Steve Nyerere akiwaelekeza wageni sehemu za kukaa katika viwanja vya Leaders Club |
![]() |
| Waziri Dkt. Fenella Mukangara akiwasili kwenye tukio la kuuaga mwili wa Adam Kuambiana akiongozwa na Steve Nyerere |

![]() |
| Baadhi ya Wasanii wa Filamu wakiwa katika Viwanja vya Leaders Club |

![]() |
| Wanahabari wakichukua matukio mbali mbali katika viwanja vya leaders |
![]() |
| Msanii 'Dokii" nae akilia kwa uchungu |
![]() |
| Kushoto ni Dkt. Fenella Mukangara akiwa katika viwanja vya leaders ili kuuaga mwili wa marehemu Adam Kuambiana |




![]() |
| Jokate Mwegelo akilia kwa uchungu |

![]() |
| Baadhi ya Wasanii waliokuja kwenye msiba wa mwenzao Adam Kuambiana |


![]() |
| Wema Sepetu akilia kwa uchungu |













No comments:
Post a Comment