Mkurugenzi wa kituo hicho Mr. Diakon Claus Heim(Kulia) na Chaplin wa kituo hicho Mr. Elibariki Kaaya wakitoa maelekzo kwa ufupi. |
Wanachuo wakisikiliza kwa umakini |
Haya Twendeni kwenye eneo la washonaji wa Viatu ... |
Green colourz ilitawala na usomaji mzuri wa bronchure |
Viatu mabali mbali wanavyotengeneza walemavu wa kituo hicho. |
Viatu vya wazi wanavyotengeneza walemavu wa kituo hicho. |
Mafundi mashuhuri wakiwa katika karakana ya kutengenezea viatu tofauti tofauti....wakiwezeshwa wanaweza....!! |
Hili ni eneo la ushonaji wa nguo mbali mbali ,maelezo yakitolewa na mkufunzi wa chuo hicho Bw. Rams Mosha. |
Maelezo kidogo yakitolewa na mkufunzi wa eneo la ushonaji Bw. Rams Mosha. |
Mavazi mbali mbali wanayotengeneza walemavu hao,maelezo yanatolewa na mkufunzi wa eneo la ushonaji Bw. Rams Mosha. |
Madam Neema na wanafunzi wake wakifurahia Mavazi...Jamani kimini hichoooo!!! |
Kimini hichooooo..... |
Mavazi mbalimbali |
Huu ni upande wa karakana ya Viungo Bandia (Orthopaedic Workshop) ,hapa maelezo yakitolewa na mtaalam wa eneo hilo Bw. Nanyaro |
Hii ni mashine inayotengeneza Viungo Bandia (Orthopaedic Workshop) ,hapa maelezo yakitolewa na mtaalam wa eneo hilo Bw. Nanyaro |
Hii ni mashine ya kukatia vitu vinavyotengeneza Viungo Bandia (Orthopaedic Workshop) ,hapa maelezo yakitolewa na mtaalam wa eneo hilo Bw. Nanyaro |
Hii ni mashine ya kunyooshea vitu vinavyotengeneza Viungo Bandia (Orthopaedic Workshop) ,maelezo yakitolewa na mtaalam wa eneo hilo Bw. Nanyaro |
Hili ni duka la nguo zinazo shonwa na walemavu wa kituo hicho,Madam Neema(mkufunzi wa chuo cha uandishi wa habari Arusha) akifurahia vazi hilo. |
Mtangazaji wa kituo cha radio cha MJ FM ARUSHA .Bw Charles akipata picha ndani ya duka la vitu mbalimbali wanazotengeneza walemavu katika chuo hicho. |
Zawadi zikiwasilishwa na kiongozi wa wanachuo cha habari cha Arusha(AJTC) |
Mkufunzi wa chuo cha uandishi wa habari Arusha (AJTC) Bw, Ngobole Andrea akitoa zawadi zilizoletwa na wanachuo hao. |
Mkufunzi wa chuo cha uandishi wa habari Arusha (AJTC) B, Neema Ezekiel akitoa zawadi zilizoletwa na wanachuo hao. |
Picha ya pamoja na baadhi ya wanachuo wawili wa chuo cha walemavu Usar-River Arusha pamoja na wanachuo cha uandishi wa habari Arusha (AJTC). |
Madam Neema Ezekiel akipiga picha na wanachuo cha ulemavu cha Usar-River Arusha |
Kiongozi mkuu wa wana-AJTC akipiga picha na wanachuo cha ulemavu cha Usar-River Arusha |
Presenter wa matukio yote, wa AJTC akipata machache toka kwa wanachuo cha ulemavu cha Usar-River Arusha |
No comments:
Post a Comment