Habari : Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Amuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Thursday, 6 November 2025

Habari : Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Amuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.
Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Hamza Said
Johari, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emanuel Nchimbi katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Hamza Said Johari, mara baada ya tukio la uapisho, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.

No comments:

Post a Comment