Mashujaa : Rais Samia Ashiriki Maadhimisho ya Mashujaa Kitaifa katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Friday, 25 July 2025

demo-image

Mashujaa : Rais Samia Ashiriki Maadhimisho ya Mashujaa Kitaifa katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma.


01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma kwa ajili ya Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa tarehe 25 Julai, 2025.02...
02

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ana ule wa Afrika Mashariki ukiimbwa katika Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2025.
 03..........

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka silaha za jadi ikiwemo mkuki na ngao katika mnara wa Mashujaa kwenye Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2025.
03..

04,,.
04..,.,
04...,...
04....,.
04.....,.,.
04
04a
Matukio mbalimbali kwenye Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika uwanja wa Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2025.05.....
05
Viongozi, wananchi, wageni mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2025.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *