Siasa : Balozi Nchimbi asaini kanuni za maadili ya uchaguzi 2025 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 13 April 2025

demo-image

Siasa : Balozi Nchimbi asaini kanuni za maadili ya uchaguzi 2025

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameshiriki katika utiaji saini wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025. 


Shughuli hiyo imefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ikitanguliwa na mjadala wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa vyote vyenye usajili wa kudumu, waliohudhuria na kuridhia kanuni hizo,  Jumamosi, tarehe 12 Aprili 2025.WhatsApp%20Image%202025-04-12%20at%2005.40.32WhatsApp%20Image%202025-04-12%20at%2005.40.29

WhatsApp%20Image%202025-04-12%20at%2005.40.30%20(1)
WhatsApp%20Image%202025-04-12%20at%2005.40.30
WhatsApp%20Image%202025-04-12%20at%2005.40.31%20(1)
WhatsApp%20Image%202025-04-12%20at%2005.40.31
WhatsApp%20Image%202025-04-12%20at%2005.40.32%20(1)

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *