Michezo : Waziri Atembelea Jengo la ZBC Radio Rahaleo Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Thursday, 18 July 2024

demo-image

Michezo : Waziri Atembelea Jengo la ZBC Radio Rahaleo Zanzibar


DSC_4015
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
DSC_4033
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.DSC_4110
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifahamisha Jambo wakati akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini  wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
DSC_4118Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali  wakati alipofanya Ziara kutembelea Jengo la Utangazaji la ZBC Radio lililofanyiwa Ukarabati Rahaleo Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZNAIZBAR.17/07/2024.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *