Matukio : Spika Job Ndugai Afungua Mashindano ya Nane ya Mabunge( EALA ) - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 3 December 2017

demo-image

Matukio : Spika Job Ndugai Afungua Mashindano ya Nane ya Mabunge( EALA )


IMGL5652
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya usajili wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
IMGL5770
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
IMGL5808
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakiteta jambo wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. Wakiongozwa na Mhe. Ritta kabati (kulia)
IMGL6057
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Ndg. Rwigema Celestin (katikati) wakielekea kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson na wa pili kushoto ni katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Ndg. Edwin Rutageruka
IMGL6176
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (aliesimama) akiwatambulisha Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
IMGL6210
Mgeni Rasmi Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Ndg. Benard Konga (kulia) wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. NHIF ni watoaji huduma ya afya kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
IMGL6232
Wageni Mbali mbali kutoka nchi za Afrika Mashariki wakifuatilia ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
IMGL6234
Wageni Mbali mbali kutoka nchi za Afrika Mashariki wakifuatilia ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
IMGL6267
Spika waBunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Mbali mbali kutoka Afrika ya Mashariki wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. watatu kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na kushoto ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *