Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Wednesday 8 November 2017

Miundombinu : Hafla ya Utiwaji Ujenzi wa Barabara Yafanyika Zanzibar



Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya Kushuhudia utiwaji wa saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kulia akitoa taarifa kuhusiana na Uwekaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume akitoa hotuba kuhusiana na Ujenzi wa Barabara katika hafla ya Uwekaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni, iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kushoto akitiliana saini na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang Yigao kuhusiana na ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe kushoto akikabidhiana vitabu vya mikataba na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang Yigao Baada ya kutiliana saini kuhusiana na ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uwekaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni, iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya uwekaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni, iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment