Matukio : Waziri, Mbarawa Asisitiza juu ya Kuwatumia Waandisi Vijana katika Miradi Mikubwa Nchini - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


13 Oct 2017

Matukio : Waziri, Mbarawa Asisitiza juu ya Kuwatumia Waandisi Vijana katika Miradi Mikubwa Nchini



Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akizungumza na Wahandisi majengo wakati wa ufunguzi wa semina yao ya siku mbili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akikabidhi zawadi kwa Mwalimu wa shule ya Sekondari Royola , Venancy Robert mara baada ya kuibuka mshindi wa jumla kwa sekondari zote nchini

Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , akizungumza na Wahandisi majengo wakati wa ufunguzi wa semina yao ya siku mbili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa , kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari Royola,Ashraf Raphael mara baada ya kuibuka bingwa wa kitaifa katika uandishi wa Insha

Washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi,Prof Makame Mbarawa.

Waziri wa Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi , Prof Makame Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa Insha za uandishi wa majengo
PICHA ZOTE NA HUMPHREY SHAO

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad