Matukio : SSRA Yawazindua Wajasiriamali kuhusu kujiunga na kujiwekea akiba Mifuko ya Hifadhi ya Jamii - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Monday, 9 October 2017

Matukio : SSRA Yawazindua Wajasiriamali kuhusu kujiunga na kujiwekea akiba Mifuko ya Hifadhi ya Jamii



Afisa Uhusiano wa Mamaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Agnes Lubuva (kushoto), akiwapatia maelezo wananchi pamoja na wajasiriamali kuhusu kazi na majukumu ya taasisi hiyo kwa jamii, walipotembelea banda hilo, wakati wa maonesho ya Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika, akitoa somo juu ya umuhimu wa kujiunga na kujiwekea akiba kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kwa manufaa ya baadaye ya familia, wakati alipokuwa akitoa elimu kwa wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali katika Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

Wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali jijini Dar es Saaam, wakimsikiliza Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika, alipokuwa akitoa elimu kuhusu, Umuhimu wa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii, wakati wa Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, akitoa somo kwa wajasiriamali juu ya umuhimu wa kujiunga na kujiwekea akiba kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kwa manufaa ya sasa na baadaye ya familia, wakati wa Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

Wajasiriamali wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika (hayupo pichani) katika Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Wajasiriamali wakiwa makini wakimsikiliza Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, alipokuwa akitoa elimu kuhusu, Umuhimu wa kujiunga na kujiwekea akiba katika mifuko ya hifadhi ya jamii kwa manufaa ya baadaye na wakati matatizo,katika maadhimisho ya Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, akitoa somo kwa wajasiriamali.

Wajasiriamali wakiwa katika kongamano la Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, ambapo walielezwa kuhusu umuhimu wa kujiunga na kuweka akiba zao katika mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa manufaa ya sasa na baadaye na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika (hayupo pichani), viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Wajasiriamali wakiwa na watoto wao, wakiwa kwenye kongamano hilo.

Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, akitoa elimu kwa wajasiriamali katika kongamano hilo.

Wajasiriamali wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, alipokuwa akitoa elimu kuhusu, umuhimu wa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii kwa manufaa ya sasa baadaye ya familia.

Afisa Uhusiano wa Mamaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Agnes Lubuva (kulia), akigawa vipeperushi vya taasisi hiyo, kwa wajasiriamali waliohudhuria kongamano hilo la Wiki ya Fursa za Kifedha na Uwekezaji, viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, akijibu maswali ya wajasiriamali katika kongamano hilo.

Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika (kulia), akimsikiliza mmoja wa wajasiriamali, Benedicter Mng'etu kutoka Mburahati alipokuwa akiuliza swali kuhusu majukumu ya Taasisi ya SSRA katika kusimamia mifuko ya Hifadhi ya Jamii.

Maria Mwasimba, mjasiriamali, kutoka Mjimwema, akiuliza swali kwa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika (hayupo pichani), katika kongamano hilo.

Consolatha Komba, mjasiriamali, kutoka Keko Mwanga, akiuliza swali kwa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, katika kongamano hilo.

Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika, akijibu maswali ya wajasiriamali katika kongamano hilo.

Mjasiriamali Iddy Hassan, kutoka Tabata, akiuliza swali kwa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde Msika (hayupo pichani), wakati wa kongamano hilo.

No comments:

Post a Comment