Maisha :Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 16 August 2017

Maisha :Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao



Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe wakikata keki katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao nyumbani kwao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.


Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi wakijiunga na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.

Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi na Mama Rose Rupia wakiwa na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
Mark Bomani na mkewe katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.


Mzee Joseph Butiku na mkewe wakiwa na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.

Keki ikiandaliwa

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na mkewe Mama Everlyin Warioba wakiwa na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.

Wakiwa na watoto na wajukuu kwenye sherehe ya nusu karne ya ndoa yao

No comments:

Post a Comment