Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 23 July 2017

demo-image

Matukio : Rais Dk. Magufuli Kigoma


1+%25281%2529
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga

1+%25282%2529
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga
1+%25283%2529
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka ziwa Tanganyika

1+%25284%2529
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka Ziwa Tanganyika
1+%25285%2529
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.

1+%252811%2529
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
1+%252812%2529
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821KJ.


1+%252813%2529

Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821kj wakishangilia mara baada ya kukutana na kupiga picha kusalimiana na Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

1+%25289%2529
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
1+%252810%2529 Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *