Mwendeshaji wa kipindi cha "Elimu Afrika" Mwl. Daniel Urioh Kushoto akiwa na Koplo. Athilio Choga Kulia, wakitoa Elimu kuhusu Usalama Barabarani sehemu ya Kwanza.
Endelea Kufuatilia Vipindi vingine Vijavyo kwenye mitandao mingine ya Kijamii kama vile; Blog ya Elimu Afrika , Instagram : @elimuafrika , facebook : Elimu Afrika , Twitter @ElimuAfrika , na YouTube : Elimu Afrika. #SiasaIsiingilieTaaluma
TBS YATUMIA MAONESHO YA BIASHARA ZANZIBAR KUKUZA UZINGATIAJI WA VIWANGO
-
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya
viwango kwa wananchi na wajasiriamali wanaotembelea Maonesho ya 12 ya
Biashara ...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment