Uchumi : Wilhelm Gidabuday Amshauri Mengi Rais Dk. John Magufuli - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 25 May 2017

Uchumi : Wilhelm Gidabuday Amshauri Mengi Rais Dk. John Magufuli

Mhe. Wilhelm Gidabuday. Picha na Maktaba.



"Uwizi wa kutisha? No no no...!




Uwizi huu upo tangu siku nyingi na kuna uwizi mwingine mwingi tu unaendelea.




Our problem is an illness called "Reluctant to take immediate action due to hate caused by political differences"




Ilishindikana nini kipindi kileeeee ampapo Tundu Lissu alisema hayo hayo, Zitto Kabwe, Kafulila na wazalendo wengine?




Katika watanzania ambao hawakustuka hata tone kuhusu ripoti hii mimi ni mojawapo sababu THIS IS AN OLD STORY.




However, we've got to respect the new beginning dared by H.E Dr Magufuli / our President.




The question is - lini sasa serikali itaanza kudili na waonevu wengine kama - Waarabu wa Loliondo wanaobeba wanyama wetu, wababe waliovamia Vyanzo vya Maji ambao wanakausha mamilioni ya lita za ujazo wa RASILIMALI MAJI.




Ukizungumzia RASILIMALI usisahau MIFUGO wanaosafirishwa kinyemela kupitia Bandari Bubu za Bagomoyo kwa MPANGO mahsusi wa DC Bagamoyo na Maafisa wake wa POLISI. Kodi za serikali zinaangamizwa na wateule walioaminiwa.




Ripoti ya Bagamoyo imefichwa na RC wa Pwani ili kulinda masilahi ambayo na yeye (Eng Evarest Ndikilo) anafaidika nayo.




*Niliwahi kumwandikia barua Rais Magufuli (nakala) ipo, ilihusu ombi la wafugaji wa Bagamoyo ambao walitaka Rais afahamu kwamba; kwa moyo wa dhati wanataka wachange mamilioni yao, wajenge kiwanda cha nyama ili watengeneze ajira kwa majirani zao ambao wengi ni wakulima. Pia hiyo iwe ni njia bora ya kupunguza mifugo wakati serikali ikipata kodi ya mauzo ya mazao ya nyama, ngozi nk.*




Lakini pia ilikuwa njia nzuri ya wao kupunguza mifugo, kubadili mtazamo wao wa kuanza kusomesha watoto wao, kujenga Nyumba bora nk.




Nahakika ujumbe huu ungemfurahisha sana Rais wetu, lakini nina uhakika barua hiyo Rais atakuwa hajaiona sababu mpango huo mzuri utapoteza ulaji wa hao wanaopora mifugo ya watanzania wanyonge na kusafirisha nje ya nchi bila kulipa kodi.




Bagamoyo ni hatari, serikali inaibiwa na kiongozi, alafu tena mwananchi anaporwa na kiongozi...!




Namhurumia Rais Magufuli sababu HE IS FIGHTING THIS WAR ALONE. Those who he trusted are conspiring against him; and when he finally finds out the truth - the damage has already been done.




Lastly, I salute what the Commander and Chief has achieved so far, I pray for his wellbeing because he is at war within his own 'Inner Circle'.




I wish you all a pleasant day."




By Wilhelm Gidabuday, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Nchini (RT).

May 25th 2017

No comments:

Post a Comment