Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 2 May 2017

Riadha : Ismail Juma na Sara Ramadhani Wapeta Kwenye Mashindano ya Riadha ya Kimataifa.





"Tanzania yazidi kupiga hatua katika Riadha, Sara Ramadhani amefuzu kushiriki Mashindano ya 2017 London World Athletics Championships kwa kukimbia masaa 2 dakika 33 sekunde 11 na kushika nafasi ya pili.




Naye Ismail Juma Gallet amekuwa wa kwanza Istanbul Half Marathon kwa kutumia muda mkali sana wa lisaa 1 na sekunde 9 (1:09).




Nilijua tutapiga hatua mbele, lakini mafanikio haya yanakuja vyema kuliko hata mategemeo yetu, ni furaha sana kuona juhudi zinafanikiwa japo kuwa bado changamoto zingine zipo." - Wilhelm Gidabuday, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT).

No comments:

Post a Comment