Matukio / Picha : Endelea Kupata Taswira mbalimbali ya Viongozi wakiaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliofariki kwa Ajali, Arusha Jana - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 9 May 2017

Matukio / Picha : Endelea Kupata Taswira mbalimbali ya Viongozi wakiaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliofariki kwa Ajali, Arusha Jana

Faraja Nyalandu na Mmewe Lazaru Nyalandu wakiwa na nyuso za Huzuni mara baada ya kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha. PICHA ZOTE NA GADIOLA EMANUEL.

Faraja Nyalandu na Mmewe Lazaru Nyalandu wakiwa na nyuso za Huzuni mara baada ya kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki tarehe 06:05:2017 kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha. PICHA ZOTE NA GADIOLA EMANUEL.

Faraja Nyalandu na Mmewe Lazaru Nyalandu wakiwa na nyuso za Huzuni mara baada ya kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha. PICHA ZOTE NA GADIOLA EMANUEL.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa TANAPA, Bw. Pascal Shelutete akihojiwa na Mwandishi wa Habari (hayupo pichani ) wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten wakati akielekea kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha.

Faraja Nyalandu akilia kwa Uchungu mara baada ya kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha.

Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha ,Amani Golugwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa mara baada ya kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki tarehe 06:05:2017 kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha.

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa mara baada ya kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki tarehe 06:05:2017 kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha.

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa akiongea na Mbunge wa Arusha Mhe. Godbless Lema mara baada ya kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki tarehe 06:05:2017 kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha.

K/Katibu Hamasa na Chipukizi (UVCCM), Jokate Mwegelo akielekea kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki tarehe 06:05:2017 kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha.

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye gari huku mvua ikinyesha mara baada ya kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki tarehe 06:05:2017 kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha.

Waziri wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , Prof. Joyce Ndalichako akielekea kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki tarehe 06:05:2017 kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha.

Maelfu ya Watu waliokuja kuaga miili ya Wanafunzi 32, walimu 2 na Dereva 1 wa Shule ya Lucky Vincent arusha Waliofariki tarehe 06:05:2017 kwa Ajali ya Barabarani huko Rhotia, Marera wilayani karatu, Mkoani Arusha. PICHA ZOTE NA GADIOLA EMANUEL.

No comments:

Post a Comment