Habari : Jukwaa la Wahariri Latangaza Kususia Kuandika Habari za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


23 Mar 2017

Habari : Jukwaa la Wahariri Latangaza Kususia Kuandika Habari za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam




Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena (katikati) akizungumza katika mkutano ana waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamko la vyombo vya habari la kususia kuandika habari za matukio ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye ijumaa iliyopita alivamia kituo cha Clouds Media usiku akiwa na askari waliokuwa na bunduki. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Dar Press Club, Shadrack Sagati na Mjumbe wa TEF, Lillian Timbuka.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0754264203


Meena ambaye alisoma tamko la pamoja la TEF, Dare sSalaam Press Club na Umoja wa Vilabu vya Habari nchini akijibu moja ya maswali ya wanahabari


Wanahabari wakiwa kazini

Meena akifafanua jambo




Meena akisisitiza kuwa mwandishi yeyote atakayekiuka tamko hilo kwa kwende kwenye matukio ya RC Makonda, litakalompata TEF haitahusika kwa lolote.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad