Maisha : VIDEO: Sheria Ngowi kuteka soko la fashion nchini...Nini mipango yake? - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Feb 2017

Maisha : VIDEO: Sheria Ngowi kuteka soko la fashion nchini...Nini mipango yake?
Sio kila unachosoma ndio ndoto yako ya baadae, unaweza ukasoma Udaktari au Sheria lakini pia ukawa na kipaji cha zaidi ya ulichosomea na kujikuta unavutiwa kukitumia kipaji hicho kwa ajili ya jamii inayokuzunguka.


The Beauty TV ilizungumza mambo mengi na Sheria Ngowi na unaweza kumtazama hapa na usisahau ku-subscribe kwa ajili ya taarifa zaidi kutoka The Beauty TV.

Post Top Ad