Elimu : HakiElimu Yazindua Mpango Kazi wa Mwaka 2017 - 2021 - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Jan 2017

Elimu : HakiElimu Yazindua Mpango Kazi wa Mwaka 2017 - 2021Mwenyekiti ya bodi ya taasisi ya Haki elimu nchini, Profesa Martha Qorro akihutubia wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Dira ya tasisi hiyo kuanzia 2017-2021.

Mwenyekiti ya bodi ya taasisi ya Haki elimu nchini, Profesa Martha Qorro akifungua pazia kuashira uzinduzi wa dira ya mwaka 2017 mpaka 2021 nchini.

Mkurugenzi wa taasisi ya haki elimu nchini,John Kalaghe akizungumza wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Dira ya haki elimu 2017-2021.
Baadhi ya wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari walioshirikikatika uzinduzi huo wakifatilia kwa makini.

Picha ya Pamoja ya wajumbe wa bodi wa taasisi ya Haki elimu na wadau muhimu kwa tasisi hiyo.

Picha ya pamoja ya watendaji wa taasisi ya Haki elimu na mkurugenzi wa tasisi hiyo John Kalaghe mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi huo.

Wadau wa vyombo vya habari na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifatilia kwa makini mjadala.

Baadhi ya wanafunzi wakiwa na walimu wao wakifatilia mjadala kabla ya uzinduzi wa mpango kazi wa taasisi ya haki elimu.

Wanazuoni wakijadili jambo mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa mpango kazi wa tasisi ya haki elimu kuelekea 2017-2021.

Post Top Ad