EATVAWARDS : Taswira mbalimbali ya Tuzo za EATV, Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


12 Dec 2016

EATVAWARDS : Taswira mbalimbali ya Tuzo za EATV, Jijini Dar es Salaam


Picha ya Pamoja ya Waliopokea Tuzo na Mgeni wa Heshima Waziri Nape


Wacha Maneno...Weka Muziki...'Darasa 'AkitumbuizaSalama Jabir


Shetta 'Baba Qayla' akitumbuiza
Elias Barnabas 'Classic' Mwanamuziki Mkali ndani ya Bongo ...

Zembwela 'MC' BeberuMrisho Mpoto 'Mjombaa'


Vanessa Mdee 'Vee Money' akitumbuiza

Mwanamuziki wa Kimataifa Judith Wambura 'Lady Jay Dee'

Pince Dully Sykes..

Kiatu...Wahu kutoka KenyaMpiga picha kapigwa picha na mpiga picha


Kicheko cha furaha...


Jux na Vanessa - Wapenzi


Waziri Nape na 'Kistuli ','Andunje' , Salama Jabir


Waziri Nape na Salama Jabir


Waziri Nape akimkabidhi Bonny Kilosa " Dj Bonny Lov "Tuzo ya Heshima aliyoipata kwenye Tuzo za Kituo cha Runinga cha Afrika Mashariki (EATV AWARDS.

Waziri Nape akimkabidhi Bonny Kilosa " Dj Bonny Lov "Tuzo ya Heshima aliyoipata kwenye Tuzo za Kituo cha Runinga cha Afrika Mashariki (EATV AWARDS.

DJ Bonny Love Akiongea machache baada ya kupokea Tuzo ya Heshima katika Tuzo za EATV AWARDS, Kulia ni Rafik yake Dj JD


Waziri Nape , Dj Bonny Love na Dj JD
Brother wa Jide , Anna Peter , Wahu na Komando JideHongera Mpenzi - Jokate


Jokate na Ali


Ali Kiba na Jokate Mwegelo...Wapenzi


Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Ally Hapi


Muonekano...


David Rwenyagira na Mfanyakazi mwenzake EA Radio


Mikono..


Mguu..


DJ JD "The Legend " na DJ CHOKA


Mpiga picha nae kapigwa picha na mpiga picha...

Selfie' Kulia ni Mpiga Picha wetu OTHMAN MICHUZI

Post Top Ad