Mwenyekiti
wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo (katikati),
akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu kuipitia
upya mikataba iliyoingia shirika hilo na Taasisi mbalimbali na watu
binafsi kutokana na baadhi yake kugundulika ikiwa na utata wa maslahi ya
shirika hilo. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu, Fortunatus Kapinga na
Kulia ni Katibu wa Shirika, Rochus Assenga. (Picha zote na Kassim
Mbarouk)
Baadhi
ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta na waandishi wa habari,
wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakielezwa na Mwenyekiti wa
Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo katika mkutano huo.
Baadhi
ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta wakifuatilia maelezo
yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni
Kondo kwa waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi
ya Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Posta wakimsikiliza Mwenyekiti wa bodi
hiyo, Dk. Haruni Kondo, wakati alipokuwa akielezea kuhusu kuipitia upya
mikataba yenye utata, iliyoingia shirika hilo na taasisi mbalimbali
pamoja na watu binafsi.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo, akizungumza na
waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu kuipitia upya mikataba
iliyoingia shirika hilo na Taasisi mbalimbali na watu binafsi kutokana
na baadhi yake kugundulika ikiwa na utata wa maslahi ya shirika hilo.
Baadhi
ya waandishi wa habari na baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la
Posta, wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakielezwa na
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo katika
mkutano huo.
Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta na waandishi wa habari, wakiwa katika mkutano huo.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Fortunatus Kapinga, akitoa
ufafanuazi kwa waandishi wa habari na pia kuitaja baadhi ya miradi hiyo
na sehemu ilipo, wakati wa mkutano huo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi
ya shirika, Dk. Haruni Kondo na kulia ni Katibu wa shirika hilo, Rochus
Assenga.
Baadhi
ya wapiga picha wa vyombo vya habari, wakichukua maelezo yaliyokuwa
yakitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk.
Haruni Kondo, wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Kaimu
Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Fortunatus Kapinga, akitoa
ufafanuazi kwa waandishi wa habari walipotaka ufafanuazi wa masuala
mbalimbali kuhusu miradi hiyo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya
shirika, Dk. Haruni Kondo na kulia ni Katibu wa shirika hilo, Rochus
Assenga.
Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta wakiwa katika mkutano huo na waandishi wa habari.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo (katikati),
akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari, wakati akijibu maswali kuhusu
masuala mbalimbali ya utekelezaji na hatua zitakazo chukuliwa kwa
wahusika wa mikataba hiyo, isiyo na tija kwa shirika hilo.