Picha : Happy Birthday Fellow Blogger Dina Marios , Mama Zion - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 23 November 2016

Picha : Happy Birthday Fellow Blogger Dina Marios , Mama Zion

Dina Marios na Mwanawe , Zion


Mama na Mwana

Wazalendo 25 Blog na Uongozi wake , Tunakutakia Maisha Mema na Yenye afya tele. Mungu akupe HEKIMA , UBUNIFU NA MAARIFA zaidi katika maisha yako yote. Hakikisha huyo Mtoto Zion Reuben (Ncha Kali ) anapata Elimu Bora na Afya tele. Mlee katika Maadili ya Mungu au kumuogopa Mungu siku zote za Maisha yake.