Matukio : Rais Dk. Magufuli atia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Thursday, 17 November 2016

Matukio : Rais Dk. Magufuli atia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016


Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imeeleza kuwa Rais Magufuli amesaini sheria hiyo jana tarehe 16 Novemba 2016 na kuwapongeza wadau wote kwa kufanikisha kutungwa kwake.

No comments:

Post a Comment