Matukio /Utalii :.Majaliwa Azindua chama cha Waandishi wa habari za utalii na uwekezaji Mkoani Mbeya - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Aug 2016

Matukio /Utalii :.Majaliwa Azindua chama cha Waandishi wa habari za utalii na uwekezaji Mkoani Mbeya


 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Nuru Millao (kushoto) alipowasili katika banda la Chama cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji (TAJATI) katika viwanja vya Nanenane John Mwakangale jana Jijini Mbeya. Katikati ni Mwenyekiti wa TAJATI Bw. Ulimboka Mwakilili

 Mwenyekiti wa TAJATI Bw. Ulimboka Mwakilili (wapili kulia) akitambulisha baadhi ya wajumbe wa TAJATI kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa alipowasili katika banda la Chama cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji (TAJATI) katika viwanja vya Nanenane John Mwakangale jana Jijini Mbeya kwa ajili ya kuzindua chama hicho

 Mwenyekiti wa TAJATI Bw. Ulimboka Mwakilili (kushoto) akimuonyesha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa picha yenye sura ya kufanana naye iliyochorwa na mmoja wa wanachama wa TAJATI baada ya kuzindua chama hicho jana Jijini Mbeya katika viwanja vya Nanenane John Mwakangale. Katikati ni mke wa Waziri Mkuu mama Mary Majaliwa. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad