Kilimo Kwanza : Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Afunga maonyesho ya 88 Mkoani Mbeya - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

9 Aug 2016

Kilimo Kwanza : Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Afunga maonyesho ya 88 Mkoani Mbeya

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananachi wakati lipotembelea maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016. Kushoto kwake ni mkewe Mary.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia kwake) wakikagua vipando vya kabeji wakati walipotembelea banda la Magereza kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti8, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia picha yake iliyochorwa na kutolewa kwake na Chama cha Wandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania mkoani Mbeya (TAJATI) katika kilele cha sherehe za Maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwaja wa wa John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8, 2016. Watatu kulia kwake ni mkewe Mary na wapili kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla

Baadhi ya viongozi waliohudhuria kwenye kilele cha Maonyesho ya Wakulima Nanenane katika uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Agosti 8, 2016.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad