Bashara : BRITAM Insurance yazinduliwa kwa kanda ya Kaskazini , Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


6 Aug 2016

Bashara : BRITAM Insurance yazinduliwa kwa kanda ya Kaskazini , Jijini Arusha


Katikati ni Mgeni rasmi mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo ambaye alikuwa akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Daudi Ntibenda, akipongezana na Mkurugenzi wa Masoko BRITAM Kenya huku miale ya baruti ikihanikiza  ishara ya uzinduzi wa  shughuli zitakazokuwa zikifanywa na BRITAM katika jiji la Arusha wakati wa hafla hiyo katika hoteli ya Mount Meru

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo akihutubia wageni katika hafla hiyo

Kulia ni Mgeni rasmi mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo ambaye alikuwa akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Daudi Ntibenda, akifungua pazia ishara ya uzinduzi wa  shughuli zitakazokuwa zikifanywa na BRITAM katika jiji la Arusha wakati wa hafla hiyo katika hoteli ya Mount Meru
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi BRITAM Tanzania Bw.Michael Laizer ishara ya pongezi mara baada ya ufunguzi  

Mkurugenzi mtendaji BRITAM Tanzania Bw.Stephen Lokonyo akitoa historia ya utendaji wa  kampuni kuhusu kampuni yao wakati wa hafla hiyo katika hoteli ya Mount Meru

 Mgeni rasmi mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh.Mrisho Gambo ambaye alikuwa akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Daudi Ntibenda, akiefuatilia shughuli zilizokuwa zikiendelea wakati wa hafla hiyo katika hoteli ya Mount Meru
Kutoka kulia ni Afisa Mkuu wa Uendeshaji BRITAM Bw.Sodson Manatsa  akiwa na Meneja Masoko BRITAM Tanzania Bw.Godfrey Mzee wakifuatilia kwa makini hafla hiyo
Meza Kuu ambapo wageni rasmi waliketi katika hafla hiyo
Meneja BRITAM Tanzania tawi la Arusha Bi. Loisi Yatera akizungumza wakati wa ufunguzi wa hafla hiyo 
Kutoka kushoto ni Mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha Mjini Mh.Felix Mrema, katikati ni Mkurugenzi wa Masoko BRITAM Kenya na mwisho ni Mkurugenzi BRITAM Kenya Bw.Stephen Wandera 
Meneja BRITAM Tanzania tawi la Arusha Bi. Loisi Yatera akiwatambulisha baadhi ya watendaji wa Kampuni hiyo mbele ya wageni waliohudhuria katika hafla hiyo
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo katika hoteli ya Mount Meru
Mbunge wa Arusha Mjini Mh.Godbless Lema pamoja na mke wake wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri katika hafla hiyo ndani ya Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha
Mkurugenzi BRITAM Kenya Bw.Stephen Wandera akimsikiliza kwa makini mgeni rasmi wakati akihutubia wageni katika hafla hiyo

Na Dickson Mulashani

Post Top Ad