Matukio / Video : Rais Dk. Magufuli Aandaa Futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa Dini, Ikulu Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 16 June 2016

Matukio / Video : Rais Dk. Magufuli Aandaa Futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa Dini, Ikulu Jijini Dar

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika foleni na wageni wake kwenda kuchukua chakula wakati wa kufuturu katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Ndg. Ramadhani Madabida akifuatiwa na Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Lusekelo Anthony 'Mzee wa Upako' na wagemi wengine wakipakua chakula katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari aliyoandaa Ikulu.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli (katikati) akiwa meza kuu pamoja na viongozi mbalimbali
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe alikuwa miongoni wa viongozi mbalimbali wa dini wakiwa kwenye hafla hiyo ya Ftari iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016.
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari aliyoandaa Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari aliyoandaa Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari aliyoandaa Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari aliyoandaa Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari aliyoandaa Ikulu.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na kaimu Mufti Sheikh Hamid Masoud Jongo baada ya kuongea machache katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kati) na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa (wa pili) kushoto, Mama Kawawa (kushoto)  Hajjat Shamim Khan wakiwa katika hafla hiyo.
Mama Gervina Lukuvi (kushoto) na Mama Saada Othman Chande wakiwa katika hafla hiyo

Kaimu Mufti Sheikh Hamid Masoud Jongo akiongoza dua bada ya futari Ikulu.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni mbalimbali katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Mama Mary Majaliwa wakiwa na sehemu ya wageni kwenye hafla hiyo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  akisalimiana na wageni waalikwa

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli  na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa na wageni waalikwa
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Shamim Khan katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016. Kushoto ni Mke wa rais Mama Janeth Magufuli akifuatiwa na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Saada Othman Chande.

No comments:

Post a Comment