Utalii wetu : Mandhari ya kuvutia ya hifadhi ya taifa ya Tarangire - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Sunday, 22 May 2016

Utalii wetu : Mandhari ya kuvutia ya hifadhi ya taifa ya Tarangire


Miti ya Mibuyu iliyochimbwa na Tembo ni moja vivutio katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Uoto wa asili katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ni kivuto kingine.
Mkundi ya Tembo ni sehemu pia ya vivutio vinavyo ibeba Hifadhi ya Taifa ya Tarangire,
Ndege wa aina mbalimbali pia wanaweka mvuto katika Hifadhi hiyo
Mnyama Ngiri ni miongoni mwa wanayama wanaoonekana kwa urahisi katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Muonekano wa Mibuyu iliyochimbwa na Tembo.
Tumbili pia wamo.
Sehemu ya Chanzo cha Mto Tarangire.
Mnyama Kuro pia ni kivutio kimoja wapo katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Kundi la Tembo likivuka mmoja wa mito iliyopo katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.
Maandhari ya uoto wa asili unavyoonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment