Matukio :Balozi Liberata Mulamula Akutana kwa mazungumzo na wageni mbalimbali waliotembelea Wizarani - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Thursday, 19 November 2015

demo-image

Matukio :Balozi Liberata Mulamula Akutana kwa mazungumzo na wageni mbalimbali waliotembelea Wizarani

DSC_0594
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya China katika masuala ya Afrika, Balozi Zhong Jianhua alipotembelea Wizarani tarehe 17 Novemba, 2015.
DSC_0595
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Samuel Shelukindo kwa pamoja na Afisa Mambo ya Nje, Bw. Medard Ngaiza wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Balozi Zhong Jianhua (hawapo pichani)
DSC_0596
Maafisa waliofuatana na Balozi Zhong Jianhua (hayupo pichani) nao wakifuatilia mazungumzo
DSC_0598
Mazungumzo yakiendela

...Mkutano wa Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Kuzuia Mauaji ya Kimbari 

DSC_0628
Balozi Mulamula (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Kuzuia Mauaji ya Kimbari, Bi. Felistas Mushi alipofika Wizarani kwa mazungumzo. 
DSC_0630
Mazungumzo yakiandelea
DMC
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy kwa pamoja na Afisa Mambo ya Nje, Bi. Eva Ng'itu wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Bi. Mushi (hawapo pichani)
DSC_0633
Balozi Mulamula akisikiliza maelezo kutoka kwa Balozi Mushy kuhusu utendaji wa Kamati hiyo.

DSC_0636
Balozi Mulamula akiagana na Bi. Mushi baada ya mazungumzo yao

Picha na Reginald Philip

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *