
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia
wananchi wa Mji wa Geita, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Magereza, Mkoani Geita Oktoba 13, 2015. Picha na Othman Michuzi / Maktaba.
No comments:
Post a Comment