Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na watendaji wa Shirikia la Nyumba la
Taifa (NHC) alipowasili eneo la Rahaleo mjini Mtwara kuweka jiwe la
msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi. Evelyn Mugasha wa Wizara ya
Ardhi alipowasili eneo la Rahaleo mjini Mtwara kuweka jiwe la msingi
mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na watendaji wa Shirikia la Nyumba la
Taifa (NHC) alipowasili eneo la Rahaleo mjini Mtwara kuweka jiwe la
msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na watendaji wa Shirikia la Nyumba la
Taifa (NHC) alipowasili eneo la Rahaleo mjini Mtwara kuweka jiwe la
msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na watendaji wa Shirikia la Nyumba la
Taifa (NHC) alipowasili eneo la Rahaleo mjini Mtwara kuweka jiwe la
msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wakandarasi alipowasili eneo la
Rahaleo mjini Mtwara kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC
Jumamosi Oktoba 10, 2015

Wasanii
wa kundi la Hapa Kazi TU wakitumbuiza eneo la Rahaleo mjini Mtwara
katika sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi
Oktoba 10, 2015

Mkurugenzi
Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akiongea eneo la Rahaleo mjini Mtwara

Sehemu ya mradi huo

Sehemu ya mradi

Mkurugenzi
Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akiongea eneo la Rahaleo mjini Mtwara
katika sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi
Oktoba 10, 2015

Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki
akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia eneo la Rahaleo mjini Mtwara
katika sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi
Oktoba 10, 2015

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia eneo la Rahaleo mjini Mtwara katika
sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba
10, 2015

Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya mradi toka kwa Mkurugenzi Mkuu
wa NHC Bw. Nehemia Mchechu eneo la Rahaleo mjini Mtwara katika sherehe
za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10,
2015

Uzinduzi wa mradi huo

Picha ya pamoja na makandarasi wa mradi huo

Picha ya pamoja na watendaji wa NHC

Picha ya pamoja na wakandarasi wa mradi
No comments:
Post a Comment