Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubiwa wananchi, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Godbress Lema, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Mwanasiasa Mkongwe Nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbatia, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
No comments:
Post a Comment