Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas
Kashilila alipowasili kuaga mwili wa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha
Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin Max, Jumamosi kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa
aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu
Donald Kelvin Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika
Jumamosi kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam

Mama Salma
Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa
Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu Donald Kelvin
Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika Jumamosi kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam

Rais Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
Rais Kikwete akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda
.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne
Makinda, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam, Juni 27, 2015 kwa ajili ya kushiriki shughuli za kuaga mwili
wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max.

Rais
Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Makamu wa Dkt. Bilal, wakati walipokuwa
katika shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu
Donald Kelvin Max, zilizofanyika Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.

Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Bilal, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
na baadhi ya Viongozi wakijumuika na waombolezaji katika shughuli za
kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin Max, Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Rais
Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin
Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili zilizofanyika Juni 27, 2015
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Rais
Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli
za kuaga mwili zilizofanyika Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili
zilizofanyika Juni 27, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam.

Wanafamilia wakiwa katika hafla hiyo

Wanafamilia wakiwa katika hafla hiyo

Wanafamilia wakiwa katika hafla hiyo

Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili viwanja vya Karimjee

Wanafamilia wakiwa katika hafla hiyo
Sehemu ya waombolezaji

Rais Kikwete na viongozi wengine wakisimama kwa heshima wakati mwili ukiwasili

Katibu Mkuu Kiongozi akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Mangeshi
Wanafamilia wakiwa na picha ya marehemu na msalaba

Jeneza lenye mwili wa marehemu likipelekwa sehemu yake maalumu kabla ya shughuli za kuuaga kuanza

Katekista akiombea mwili wa marehemu
Afisa mwandamizi wa Bunge Saidi Yakubu akisoma wasifu wa marehemu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiongea machache kuhusu marehemu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akitoa pole kwa wafiwa

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda
Askari wa Bunge wakiandaa jeneza

Wanafamilia

Wanafamilia
Wanafamilia

Rais
Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, marehemu Donald Kelvin
Max

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya marehemu

Rais Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Max, wakati wa shughuli za kuaga mwili

No comments:
Post a Comment