Matukio : Mhe. Joshua Nassari Aendelea Kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 19 June 2015

Matukio : Mhe. Joshua Nassari Aendelea Kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Arusha


Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na mmoja wa watoto waliofika kumpokea wakati akifanya mkutano wa hadhara katika kata ya Maruanga kuhamasisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura.


Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika kata ya Maruanga .


Baadhi ya wananchi katika kata ya Maruanga wakimshangilia Nassari ,(hayuko pichani)


Nassari akiwaapisha wananchi katika kata ya Maruanga huku akiwataka kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Mbunge Joshua Nassari akiwaoesha wanachi magari mawili ya kubebea wagonjwa aliyotoa kusaidia wakazi wa jimbo la Arumeru Mashariki.

Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment